MAFUNZO JUU YA UTARATIBU BORA WA UENDESHAJI WA BANDARI YA ABIRIA MALINDI.
Wafanyakazi wa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) na wadau wa sekta ya Bandari ya abiria, wamekamilisha mafunzo yaliyoandaliwa na kampuni ya Millenium Maritime Management. Mafunzo hayo maalum ya utaratibu mzuri…