Wafanyakazi wa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) na wadau wa sekta ya Bandari ya abiria, wamekamilisha mafunzo yaliyoandaliwa na kampuni ya Millenium Maritime Management.
Mafunzo hayo maalum ya utaratibu mzuri na bora wa uemdeshaji wa Bandari za Abiria kwa kila mdau husika.