TAARIFA KWA UMMA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari zanzibar (ZPC) atakuwa mubashara (live) katika kipindi cha TATUA kupitia Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), Siku ya Jumatatu tarehe 06/05/2024 saa 3:00 usiku.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari zanzibar (ZPC) atakuwa mubashara (live) katika kipindi cha TATUA kupitia Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), Siku ya Jumatatu tarehe 06/05/2024 saa 3:00 usiku.
Baada ya taarifa kutoka Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) kuonesha hali ya mwenendo wa upepo mkali wa Kimbunga Hidaya kuimarika, Shirika la Bandari Zanzibar linawataarifu wadau na wananchi…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar amehudhuria makabidhiano ya vyeti kwa wanafunzi waliomaliza mafunzo ya uendeshaji wa vifaa vya kupakia, kushusha na kupanga Makontena katika Bandari ya Malindi (…