Ujumbe (Delagation) wa viongozi nane (8) kutoka Jamhuri ya watu wa China ikiongozwa na Meja Jenerali Ma Xin Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Operesheni Tume Kuu ya kijeshi China. Imetembelea Bandari ya Malindi na kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari (ZPC) ikiwa ni maandalizi ya ziara Meli za kichina zinazotarajiwa kutia nanga nchini mnamo mwezi Julai 2024.