HUDUMA ZA BANDARI YA MALINDI SASA NI MASAA 24/7.
Mafanikio ya Bandari ya Malindi ya Makontena kupitia muendeshaji mpya ZMT/AGL (Ufungaji wa taa maalum kwaajili ya maeneo ya makontena zimewezesha utaratibu wa shughuli za kibandari kufanyika muda wa usiku…