Shirika la Bandari limepata fursa ya kushiriki kikamilifu katika Tamasha la Kizimkazi lilioanza tarehe 18 Agosti hadi tarehe 25 Agosti, 2024 ambapo Shirika kupitia kitengo cha Uhusiano na Masoko wameweza kutoa elimu kwa jamii na wananchi waliofika katika banda la ZPC kushajihisha uwekezaji, kupokea changamoto mbali mbali pamoja na kupokea maoni juu ya muelekeo mzuri shirika la Bandari katika kufikia malengo yaliyowekwa.