SHIRIKA LA BANDARI LIMEFANYA KIKAO NA WADAU WAKE WA SEKTA YA BANDARI.
Shirika la Bandari Zanzibar limeendeleza utaratibu wake wa kila mwisho wa mwezi kwa kufanya kikao na wadau wake wa sekta ya Bandari ili kutoa taarifa juu ya shughuli za shirika…
Shirika la Bandari Zanzibar limeendeleza utaratibu wake wa kila mwisho wa mwezi kwa kufanya kikao na wadau wake wa sekta ya Bandari ili kutoa taarifa juu ya shughuli za shirika…
Shirika la Bandari limepata fursa ya kushiriki kikamilifu katika Tamasha la Kizimkazi lilioanza tarehe 18 Agosti hadi tarehe 25 Agosti, 2024 ambapo Shirika kupitia kitengo cha Uhusiano na Masoko wameweza…
Bodi ya Wakurugenzi na uongozi wa Shirika la Bandari (ZPC) umefanya mkutano na bodi pamoja na uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Siku ya Jumanne Tarehe 20/08/2024 katika makao…
Mafanikio ya Bandari ya Malindi ya Makontena kupitia muendeshaji mpya ZMT/AGL (Ufungaji wa taa maalum kwaajili ya maeneo ya makontena zimewezesha utaratibu wa shughuli za kibandari kufanyika muda wa usiku…
Shirika la Bandari (ZPC) ikishirikiana na Taasisi ya Tony Blair Institute (TBI) imekamilisha ripoti ya maandalizi ya stadi maalum ya maboresho ya Bandari za Zanzibar (Zanazibar Port Improvement Charter). Baada…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi tarehe 15/05/2024 ametembelea Banda la Shirika la Bandari (ZPC) katika mkutano na maonesho ya Jumuiya ya Mamlaka…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari zanzibar (ZPC) atakuwa mubashara (live) katika kipindi cha TATUA kupitia Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), Siku ya Jumatatu tarehe 06/05/2024 saa 3:00 usiku.