SHIRIKA LA BANDARI LIMESHIRIKI KIKAMILIFU TAMASHA LA KIZIMKAZI TAREHE 18-25/08/2024.
Shirika la Bandari limepata fursa ya kushiriki kikamilifu katika Tamasha la Kizimkazi lilioanza tarehe 18 Agosti hadi tarehe 25 Agosti, 2024 ambapo Shirika kupitia kitengo cha Uhusiano na Masoko wameweza…