SHIRIKA LA BANDARI LIMEFANYA KIKAO NA WADAU WAKE WA SEKTA YA BANDARI.
Shirika la Bandari Zanzibar limeendeleza utaratibu wake wa kila mwisho wa mwezi kwa kufanya kikao na wadau wake wa sekta ya Bandari ili kutoa taarifa juu ya shughuli za shirika…
Shirika la Bandari Zanzibar limeendeleza utaratibu wake wa kila mwisho wa mwezi kwa kufanya kikao na wadau wake wa sekta ya Bandari ili kutoa taarifa juu ya shughuli za shirika…
Shirika la Bandari limepata fursa ya kushiriki kikamilifu katika Tamasha la Kizimkazi lilioanza tarehe 18 Agosti hadi tarehe 25 Agosti, 2024 ambapo Shirika kupitia kitengo cha Uhusiano na Masoko wameweza…
Bodi ya Wakurugenzi na uongozi wa Shirika la Bandari (ZPC) umefanya mkutano na bodi pamoja na uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Siku ya Jumanne Tarehe 20/08/2024 katika makao…