Katibu Mkuu Kiongozi (SMZ),Mhandisi Zena Ahmed Said, akipokea zawadi alipotembelea katika banda la mashirikiano baina ya ZPC na TPA katika viwanja vya maonesho ya Saba Saba Dar-es- Salaam.