Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi tarehe 15/05/2024 ametembelea Banda la Shirika la Bandari (ZPC) katika mkutano na maonesho ya Jumuiya ya Mamlaka za Anga Afrika Mashariki, yanayofanyika maeneo ya Hotel Verde, Unguja.