Live katika kipindi cha TATUA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari zanzibar (ZPC) atakuwa mubashara (live) katika kipindi cha TATUA kupitia Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), Siku ya Jumatatu tarehe 06/05/2024 saa 3:00 usiku.