WIZARA YA UJENZI YATILIANA SAINI UJENZI WA BANDARI KAVU YA USHUSHAJI NA UPAKIAJI WA MAKONTENA FUMBA

Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar kupitia shirika la bandari imetiliana saini na Fumba Inland Container Deport Limited kwa ajili ya ujenzi wa bandari kavu (ICD) katika eneo la Fumba. Mkataba huo kwa niaba ya wizara umesainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndugu Nahat Mohamed Mahafoudh na kwa upande wa Kampuni …

WIZARA YA UJENZI YATILIANA SAINI UJENZI WA BANDARI KAVU YA USHUSHAJI NA UPAKIAJI WA MAKONTENA FUMBA Read More »