ZMT WANATEKELEZA AHADI ZA KIMKATABA.

Mkurugenzi wa Shirika la Bandari (ZPC) akungana na Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT) wamezindua rasmi vifaa vipya ikiwemo ''Reach Stracker'' mbili pamoja na ''Mobile Crane'' moja kwaajili ya kuongeza ufanisi katika shughuli za ushushaji na upangaji wa makontena katika Bandri ya Malindi.